MICHEZO


HABARI MPYA

AFCON 2013: NIGER 0 CONGO DR 0

Alhamisi, 24 Januari 2013 23:08
Chapisha Toleo la kuchapisha
>>IJUMAA NI KUNDI C: ZAMBIA v NIGERIA, BURKINA FASO v ETHIOPIA!

AFCON_2013_LOGOKUNDI B la Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2013, leo lilimaliza Mechi yake ya pili kwa sare ya 0-0 kati ya Congo DR na Niger katika Mechi iliyochezwa Uwanja wa Nelson Mandela Bay huko Port Elizabeth, Uwanja ambao pia ulishuhudia Ghana ikiichapa Mali Bao 1-0 mapema leo katika Mechi nyingine ya KUNDI B.
Hadi sasa Ghana ndio wanaongoza wakiwa na Pointi 4 na kufuata Mali yenye Pointi 3, Congo DR 2 na Niger 1.
Mechi za mwisho za Kundi hili ni hapo Jumatatu Januari 28 kati ya Ghana na Niger na Congo DR na Mali.
VIKOSI:
Niger: Daouda, Bachard, Chicoto, Dankwa, Kourouma, Maazou, Koudize, Lancina, Soumaila, Boubacar, Sidibe
Akiba: Alzouma, Kader, James, Laouali, Kamilou, Talatou, Dante, Sakou, Alassane, William, Moutari, Saminou.
DR Congo: Kidiaba, Issama, Mabiala, Mongongu, Kasusula, Makiadi, Mulumbu, Kabangu, Mputu, Mbokani, LuaLua
Akiba: Mandanda, Manzia, Zola, Kanda, Ilunga, Kaluyituka, Mbemba, Luvumbu, Zakuani, Kisombe, Bakala.
Refa: Bouchaib El-Moubarki (Morocco).
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
MSIMAMO:
KUNDI A
1 South Africa Mechi 2 Pointi 4
2 Cape Verde Mechi 2 Pointi 2
3 Morocco Mechi 2 Pointi 2
4 Angola Mechi 2 Pointi 1
KUNDI B
1 Ghana Mechi 2 Pointi 4
2 Mali Mechi 2 Pointi 3
3 Congo DR Mechi 2 Pointi 2
4 Niger Mechi 2 Pointi 1
[Kila Timu imecheza Mechi 1]
KUNDI C
-Burkina Faso Pointi 1
-Ethiopia 1
-Nigeria 1
-Zambia 1
KUNDI D
-Ivory Coast Pointi 3
-Tunisia 3
-Togo 0
-Algeria 0
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
RATIBA/MATOKEO:
[SAA za BONGO]
Jumamosi Januari 19
South Africa 0 Cape Verde Islands 0
Angola 0 Morocco 0
Jumapili Januari 20
Ghana 2 Congo DR 2
Mali 1 Niger 0
Jumatatu Januari 21
Zambia 1 Ethiopia 1
Nigeria 1 Burkina Faso 1
Jumanne Januari 22
Ivory Coast 2 Togo 1
Tunisia 1 Algeria 0
Jumatano Januari 23
South Africa 2 Angola 0
Morocco 1 Cape Verde Islands 1
Alhamisi Januari 24
Ghana 1 Mali 0
Niger 0 Congo DR 0
Ijumaa Januari 25
Zambia v Nigeria [Mbombela Stadium Saa 12 Jioni]
Burkina Faso v Ethiopia [Mbombela Stadium Saa 3 Usiku]
Jumamosi Januari 26
Ivory Coast v Tunisia [Royal Bafokeng Stadium Saa 12 Jioni]
Algeria v Togo [Royal Bafokeng Stadium Saa 3 Usiku]
Jumapili Januari 27
Morocco v South Africa [Moses Mabhida Stadium Saa 2 Usiku]
Cape Verde Islands v Angola [Nelson Mandela Bay Stadium Saa 2 Usiku]
Jumatatu Januari 28
Congo DR v Mali [Moses Mabhida Stadium Saa 2 Usiku]
Niger v Ghana [Nelson Mandela Bay Stadium Saa 2 Usiku]
Jumanne Januari 29
Ethiopia v Nigeria [Royal Bafokeng Stadium Saa 2 Usiku]
Burkina Faso v Zambia [Mbombela Stadium Saa 2 Usiku]
Jumatano Januari 30
Algeria v Ivory Coast [Royal Bafokeng Stadium Saa 2 Usiku]
Togo v Tunisia [Mbombela Stadium Saa 2 Usiku]
ROBO FAINALI
Jumamosi Februari 2
Mshindi Kundi B v Mshindi wa Pili Kundi A [Nelson Mandela Bay Stadium Saa 12 Jioni]
Mshindi Kundi A v Mshindi wa Pili Kundi B [Moses Mabhida Stadium Saa 3 na Nusu Usiku]
Jumapili Februari 3
Mshindi Kundi D v Mshindi wa Pili Kundi C [Royal Bafokeng Stadium Saa 12 Jioni]
Mshindi Kundi C v Mshindi wa Pili Kundi D [Mbombela Stadium Saa 3 na Nusu Usiku]
NUSU FAINALI
Jumatano Februari 6
Mshindi RF 3 v Mshindi RF 2 [Mbombela Stadium Saa 12 Jioni]
Mshindi RF 1 v Mshindi RF 4 [Moses Mabhida Stadium Saa 3 na Nusu Usiku]
MSHINDI wa TATU
Jumamosi Februari 9
[Nelson Mandela Bay Stadium Saa 3 Usiku]
FAINALI
Jumapili Februari 10
[Soccer City Saa 3 Usiku]

No comments:

Post a Comment